home.social

#mataifa — Public Fediverse posts

Live and recent posts from across the Fediverse tagged #mataifa, aggregated by home.social.

  1. archive.org/details/viumbe-wal

    Viumbe Waliolaaniwa by Franz Fanon; Frantz Fanon; Gabriel Ruhumbika; Clement Maganga; Jean-Paul Sartre; Kiswahili

    Topics
    #ukoloni, #kujikomboakitaifa, #mwamkowakitaifa, #vita, #mapinduzi, #elimunafsia, #saikolojia, #mataifa, #mapambano, #ubaguziwarangi, #ujenziwamataifa

    Yaliyomo

    Dibaji ya Jean-Paul Sartre
    1. Kuhusu utumiaji nguvu
    2. Mwamko wa dharura: Fahari yake na hasara zake
    3. Matatizo ya mwamko wa kitaifa
    4. Kuhusu utamaduni wa kitaifa
    5. Vita vya kikoloni na mogonjwa ya ubongo
    6. Neno la mwisho
    Vielelezo

  2. archive.org/details/mkabala-wa

    Mkabala wa Lenin Kuhusu Suala la Mataifa by S. Gililov; Hussein Abdul-Razak

    Topics
    #mataifa, #lenin, #vladimirlenin, #nations, #nationalities, #nationalquestion, #marxism, #ProgressPublishers, #ukomunisti, #nationalism, #communism

    “Mfululizo wa ‘Vitabu vya Maarifa ya Kisiasa’ ambao umeanza kutengenezwa kwa ajili ya wasomaji wetu, ni sehemu ya mwanzo ya mkusanyiko maalum wa maandishi yaelezeayo masuala ya maendeleo ya kijamii katika zama zetu. Vitabu vilivyomo ndani ya mfululizo huo vinatoa maelezo rahisi ya masuala yahusikayo na mwundiko wa jamii, mwenendo wa kubadilika kwa mifumo ya kijamii ya aina tofauti, halikadhalika tabia muhimu za mapinduzi ya kisayansi na ya kiufundi katika ulimwengu wa leo.”