home.social

#mapambano — Public Fediverse posts

Live and recent posts from across the Fediverse tagged #mapambano, aggregated by home.social.

  1. archive.org/details/wanawake-w

    Wanawake wa TANU. Jinsia na Utamaduni katika Kujenga Uzalendo Tanganyika: 1955-1965 by Susan Geiger; Elieshi Lema

    Topics
    #TANU, #wanawake, #Tanganyika, #Tanzania, #historiayaTanzania, #mapambano, #uzalendo, #ukoloni

    "Wananchi wa Tanganyika walijipatia uhuru wao kutoka kwa Waingereza mwaka 1961 kupitia mapambano yaliyoongwozwa na jumuiya yenye nguvu chini ya uratibu wa chama cha TANU. Wanawake wazalendo walikuwa ni viongozi mashuhuri katika medani zote kwenye ngazi mbalimbali."

  2. archive.org/details/kaburi-bil

    Kaburi Bila Msalaba: Hadithi Ya Vita Vya Mau Mau by P. M. Kareithi; Terry Hirst

    Topics
    #MauMau, #Kenya, #historia, #Kiswahili, #ukoloni, #milkiyauingereza, #milkiyabritania, #vita, #kujikomboakitaifa, #mapambano, #hadithi

    "Kila msomaji amalizae kusoma hadithi hii hataacha kujiuliza nafsi yake kama anatimiza wajibu wake katika ujenzi wa taifa hili."

  3. archive.org/details/viumbe-wal

    Viumbe Waliolaaniwa by Franz Fanon; Frantz Fanon; Gabriel Ruhumbika; Clement Maganga; Jean-Paul Sartre; Kiswahili

    Topics
    #ukoloni, #kujikomboakitaifa, #mwamkowakitaifa, #vita, #mapinduzi, #elimunafsia, #saikolojia, #mataifa, #mapambano, #ubaguziwarangi, #ujenziwamataifa

    Yaliyomo

    Dibaji ya Jean-Paul Sartre
    1. Kuhusu utumiaji nguvu
    2. Mwamko wa dharura: Fahari yake na hasara zake
    3. Matatizo ya mwamko wa kitaifa
    4. Kuhusu utamaduni wa kitaifa
    5. Vita vya kikoloni na mogonjwa ya ubongo
    6. Neno la mwisho
    Vielelezo