home.social

#habari — Public Fediverse posts

Live and recent posts from across the Fediverse tagged #habari, aggregated by home.social.

  1. MTU ANAPOONDOKA MAISHANI MWETU.

    “MTU ANAWEZA KUONDOKAKATIKA MAISHA YETU, LAKINI SI NDANI YETU” Kuna watu wanaweza kuondoka katika maisha yetu, lakini wakaendelea kubaki ndani yetu. Huenda ni kwa sababu tuliwapa nafasi kubwa sana katika maisha yetu; abda hata kubwa kuliko walivyostahili. Kwa hiyo wanapoondoka, tunajikuta bado tunawahitaji. Tunamtafuta katika mawazo yetu, katika mazoea yetu, katika vitu vidogo ambavyo tulizoea kuvifanya pamoja.  Wakati mwingine si rahisi hata kujua kama kweli tunamhitaji mtu […]

    luamaseu6.wordpress.com/2026/0