home.social

#ubeberu — Public Fediverse posts

Live and recent posts from across the Fediverse tagged #ubeberu, aggregated by home.social.

fetched live
  1. archive.org/details/biashara-y

    Biashara ya Utumwa katika Afrika ya Magharibi by Walter Rodney

    Topics
    #Kiswahili, #ukoloni, #ubepari, #ubeberu, #biasharayautumwa, #historia, #AfrikayaMagharibi, #utumwa

    "Katika kijitabu hiki, mwandishi anaeleza kwa ustadi mkubwa, na kwa namna ambayo hajiapata kuelezwa kwa Kiswahili, jinsi Wazungu walivyoivamia Afrika na kuwatia Waafrika utumwani, kwa nini kufanya hivyo, hila walizozitumia, jinsi walivyozichafua mila na desturi za Waafrika na kuwasaliti wao kwa wao."

  2. archive.org/details/harakati-y

    Harakati ya Kitabaka Katika Afrika by Kwame Nkrumah; M.W.K. Chiume

    Topics
    #Afrika, #ukoloni, #usoshalisti, #ujamaa, #harakatizakitabaka, #mapambanoyakitabaka, #ukolonimamboleo, #ubepari, #ubeberu, #tabaka, #rangi, #ubaguziwarangi, #Kiswahili

    "Harakati ya Kitabaka Katika Afrika ni tafsiri ya kitabu kiitwacho Class Struggle in Africa, kilichoandikwa na hayati Kwame Nkrumah. Katika kitabu hiki anaonyesha kwa ufasaha kuwa pamoja na ukoloni, historia ya Afrika ni historia ya mapambano kati ya yanyonyaji na wanaonyonywa. Ameonyesha pia kuwa ushindi wa siasa ya uhuru na ujamaa utapatikana kutokana na ushindi wa tabaka la wafanyakazi ina wakulima dhidi ya tabaka la wonyonyaji wa ndani na wa nje ya Afrika"

  3. archive.org/details/harakati-y