home.social

#malezi — Public Fediverse posts

Live and recent posts from across the Fediverse tagged #malezi, aggregated by home.social.

fetched live
  1. archive.org/details/kamusi-ya-

    Kamusi ya Watoto by Assumpta K. Matei; Islam K. Islam; Pauline K. Kyovi

    Topics
    #Kiswahili, #kamusi, #malezi, #maneno

    "Maneno muhimu 1700 na zaidi ya Kiswahili"

  2. archive.org/details/fasihi-sim

    Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili by Assumpta K. Matei

    Topics
    #fasihisimulizi, #Kiswahili, #shuleyaupili, #fasihi, #malezi, #vitabuvyarejea

    "Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili kimeandikwa kwa lengo la kumfafanulia mwanafunzi tanzu na vipera vya fasihi simulizi kwa njia angavu na nyepesi.

    Muhitaji yote ya silabasi ya shule za upili yameshughulikiwu kwa kina.

    Mada zimejadiliwa kwa lugha rahisi na mifano anuwai ya uchanganuzi kutolewa.

    Yapo maswali yaliyotolewa mwishoni mwa mada. Maswali haya yanatahini stadi zote za ufumbuzi. Mwishoni mwa kitabu kumetolewa majibu ya baadhi ya maswali ya mazoezi."

  3. archive.org/details/malonga-3i

    Three in One : Ikinyarwanda, Kiswahili and English by Pacifique Malonga

    Topics
    #Ikinyarwanda, #Kinyarwanda, #Kiswahili, #Swahili, #Igiswahili, #Igiswahiri, #Kiingereza, #english, #Icyongereza, #ururimi, #lugha, #languagelearning, #pedagogy, #malezi

    IGICE CYA MBERE : Amagambo rusange
    SEHEMU YA KWANZA : Maneno ya msingi
    PART ONE : Basic words

    IGICE CYA KABILI : Ikibonezamvugo
    SEHEMU YA PILI : Sarufi
    PART TWO : Grammar

    IGICE CYA GATATU : Gusoma, Gusubiza n'Imigani
    SEHEMU YA TATU : Kusoma, Kujibu Maswali na Methali
    PART THREE : Reading, Comprehension and Idiomatic expressions

Share on Mastodon

Enter the server where you have an account.