home.social

#fasihi — Public Fediverse posts

Live and recent posts from across the Fediverse tagged #fasihi, aggregated by home.social.

fetched live
  1. archive.org/details/fasihi-sim

    Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili by Assumpta K. Matei

    Topics
    #fasihisimulizi, #Kiswahili, #shuleyaupili, #fasihi, #malezi, #vitabuvyarejea

    "Fani ya Fasihi Simulizi kwa Shule za Upili kimeandikwa kwa lengo la kumfafanulia mwanafunzi tanzu na vipera vya fasihi simulizi kwa njia angavu na nyepesi.

    Muhitaji yote ya silabasi ya shule za upili yameshughulikiwu kwa kina.

    Mada zimejadiliwa kwa lugha rahisi na mifano anuwai ya uchanganuzi kutolewa.

    Yapo maswali yaliyotolewa mwishoni mwa mada. Maswali haya yanatahini stadi zote za ufumbuzi. Mwishoni mwa kitabu kumetolewa majibu ya baadhi ya maswali ya mazoezi."

  2. archive.org/details/chozi-la-h

    Chozi la Heri by Assumpta K. Matei

    Topics
    #Kiswahili, #riwaya, #fasihi

    "Maazimio yasiyofikiwa yanazua hali ya kuvunjikiwa—kihoro hasa. Lakini baada ya kiza kizito huja mawio ya uzawa wa jamii mpya yenye matumaini."

  3. archive.org/details/Kusadikika

    Kusadikika: Nchi Iliyo Angani by Shaaban Robert; Ruth Yudelowitz

    Topics
    #Kiswahili, #hadithi, #fasihi, #fasihiyaKiswahili, #fasihiyaTanzania

    "Kusadikika ni nchi ambayo kuwako kwake hufikirika kwa mawazo tu."